Latest Posts
Yah: Apa utatekeleza ahadi zangu ndani ya miaka mitano
Jamani, maisha yanaendelea baada ya uchaguzi. Tanzania imekuwa nchi ya kuangaliwa na mataifa mengi duniani hasa kutokana na sifa kubwa ya kuwa kisiwa cha amani. Tanzania inatazamwa na wenye dhamira mbaya ya kutaka tuingie katika machafuko ili waweze kuchota kilicho…
Tumefunga mkataba wa mabadiliko
Juzi Jumapili Oktoba 25, mwaka huu, Watanzania tulifunga mkataba wa mabadiliko kati yetu (wapigakura) na wagombea uongozi nchini (madiwani, wabunge na rais) kutuongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo; 2015-2020. Mkataba huo muhimu unabeba dhana ya mabadiliko yenye kusudio la…
Watanzania na utii wa sheria
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alfred Tibaigana, aliwahi kusema: “Asilimia 98 ya Watanzania hawaheshimu sheria.” Alinukuliwa na mojawapo ya vyombo vya habari. Ukitafakari matamshi haya kwa haraka haraka unaweza kusema kuwa ni taarifa ambayo haishabihiani…
Soko linahitaji misuli kupambana
Nimekuwa nikipata mgogoro wa ndani kila ninapohudhuria promosheni za bidhaa mbalimbali, ninaposoma ama kutazama matangazo ya kibiashara katika vyombo mbalimbali vya habari na vile vinavyotumika kimatangazo. Kwenye nyingi ya bidhaa, promosheni ama matangazo hayo huwa ninakutana na taswira pamoja na…
Maskini Jose Mourinho!
Kama yalivyomkuta Tim Sherwood wa Aston Villa kwa kutimuliwa, hatari zaidi inamnyemelea Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho, ambaye tangu kuanza kwa msimu huu amekumbwa na balaa la matokeo mabaya katika michezo ya Ligi Kuu England (EPL). Aston Villa wao hawajachelewa…