Latest Posts
Loliondo Yametimia
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza kumaliza mgogoro wa matumizi ya Pori Tengefu la Loliondo (LGCA) ambao umedumu kwa takriban miaka 26. Desemba 6, mwaka huu, Waziri Mkuu alitangaza msimamo wa Serikali kuhusu eneo hilo kupitia kikao alichokiitisha ofisini kwake Mlimwa,…
Ukweli Kuhusu Soko la Muhogo China
Sasa mkulima au mfanyabiashara akitaka kuuza au kununua muhogo, ni lazima aelimishwe juu ya masharti hayo ya mkataba. Mwenye dhamana ya kutoa elimu hiyo ni nani? Kwa maoni yangu ni Wizara ya Kilimo ambayo ndio imeingia mkataba na Mamlaka za…
Hizi Ndio Sababu za JWTZ kwenda DRC
Mei, 2013, aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete aliwaaga wapiganaji wa Tanzania waliokwenda DRC kulinda amani dhidi ya waasi wa kundi la M23 Mashariki wa nchi hiyo. Rais Kikwete alimkabidhi bendera kiongozi wa…
ADF waandaliwa ‘kipigo cha mbwa mwizi’ kama cha M23
Ni wazi kuwa siku za kundi la waasi la Allied Democratic Forces (ADF) linaloshutumiwa kwa kuwaua wanajeshi 14 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), sasa zinahesabika. Kundi hilo lipo DRC na Uganda, na limekuwa likiendesha mauaji kwa…
Mohamed Sarah Mchezaji Bora wa Afrika Tuzo za BBC 2017
Mohamed Salah wa Misri amechaguliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya BBC kwa Mwanakandanda Bora wa Afrika Mwaka 2017. Nyota huyu wa Liverpool alipata kura nyingi zaidi ya Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon, Naby Keïta wa Guinea, Sadio Mané wa Senegal na…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 12, 2017
Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumanne Disemba, 12, 2017 nimekuekea hapa.