Latest Posts
Mapokezi ya mwili Odinga, Polisi wazidiwa nguvu uwanja wa ndege wa JKIA
Wafuasi wa Raila Odinga wamevamia lango kuu la uwanja wa ndege wa JKIA baada ya kuwazidi nguvu polisi waliokuwa wakilinda eneo hilo. Hali ya taharuki imetanda, huku kukiwa na wasiwasi mkubwa juu ya kitakachotokea endapo watapenya na kuingia ndani ya…
Dalili za uwepo wa gesi asilia zaonekana katika kitalu cha Lindi – Mtwara
📍 Utafiti wa kina unaendelea katika Kitalu cha Lindi–Mtwara 📍 Dkt. Mataragio akagua maendeleo ya mradi, aagiza ukamilike kwa wakati 📍 Akagua pia mradi wa kuongeza uzalishaji wa gesi katika kitalu cha Mnazi Bay 📍 RC Mtwara asema Gesi Asilia…
Wenje :Nimegundua usichokijua ni usiku wa giza
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Ziwa Victoria, Ezekiel Wenje, amesema kuwa katika kipindi chake cha siku tatu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) amebaini mambo mengi kuhusu maendeleo yaliyotekelezwa na Serikali. Amesema kuwa awali alipokuwa nje ya chama hicho,…
WFP: Watu milioni 14 wako hatarini kukumbwa na njaa
Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limetahadharisha kuwa takriban watu milioni 14 wako hatarini kukumbwa na njaa kutokana na kupunguzwa kwa ufadhili. WFP imesema watu hao wanapatikana katika mataifa ya Afghanistan, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Haiti, Somalia, Sudan…
‘Nizikwe ndani ya saa 72’: Wosia wa Raila Odinga
Mwili wa Raila Amollo Odinga unatarajiwa kuwasili saa tatu na nusu asubuhi ya leo kutoka India, ambako alikuwa anapata matibabu kabla ya kupatwa na mauti. Familia yake imefichua kwamba ndani ya wosia wake, aliandika kuwa azikwe ndani ya saa 72….
Dk Samia leo kurindima Bukoba Mjini
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa wa kampeni mjini Bukoba, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake mkoani Kagera ambayo imepata mwitikio mkubwa wa wananchi….





