Latest Posts
Dk Biteko aweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo kikubwa cha gesi Afrika Mashariki
📌 Tanga kuwa Kitovu cha Nishati nchini 📌 Dkt. Biteko Asisitiza Ajira Kwa Wazawa 📌Kampeni ya Rais Samia ya Nishati Safi ya Kupikia Yavutia Wawekezaji 📌Matumizi ya Gesi ya Kupikia Yaongezeka Kila Mwaka Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na…
Rais wa zamani wa Zambi Edger Lungu afariki dunia
Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu (68) amefariki dunia katika hospitali moja nchini Afrika Kusini, chama chake cha Patriotic Front kimesema. Lungu alikuwa kiongozi wa taifa hilo la Kusini mwa Afrika kati ya 2015 na 2021, aliposhindwa kwenye uchaguzi…
CHAUMA yaahidi kupambanoa wananchi
Na Jovina Massano, JamhuriMedia, Musoma VIONGOZI wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) wamewaahidi kuwapambania wananchi katika kudai mabadiliko mbalimbali ya Sheria. Wamewaeleza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya msingi Mukendo Manispaa ya Musoma mkoani…
Balozi Nchimbi atoa wito kwa vyombo vya habari kuzingatia weledi kuelekea uchaguzi mkuu
Ahimiza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita kutangazwa kwa wananchi Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amevitaka vyombo vya habari vinavyomilikiwa na chama hicho kuzingatia weledi, hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka…