Latest Posts
Kim Jong Un aapa kuendelea kuisaidia Urusi ‘bila masharti’
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameapa kuendelea kuiunga mkono Urusi katika maeneo yote ikiwa ni pamoja na katika vita vyake nchini Ukraine. Vyombo vya habari vya Serikali ya Pyongyang vimesema mapema leo kwamba Kim Jong Un alipokutana na…
Rais Trump azuia raia kutoka mataifa 12 kuingia Marekani
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini tangazo la kupiga marufuku raia wa mataifa 12 kuingia nchini humo. Katika awamu yake ya kwanza Trump aliwazuia watu kutoka mataifa saba yenye Waislamu wengi kuingia Marekani. Vyombo vya habari va nchini Marekani…
WiNTz yazinduliwa kuongeza ushiriki wa wanawake katika Nyuklia
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam LICHA ya mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sayansi na teknolojia ya nyuklia duniani, bado kuna mwanya mkubwa wa ushiriki wa wanawake katika sekta hii muhimu. Changamoto kama mitazamo hasi ya kijamii, idadi ndogo ya…
Mbegu za miti ya asili zavutia wananchi Banda la TFS Maonesho ya Mazingira Dodoma
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Wakazi wa Jiji la Dodoma na wageni kutoka maeneo mbalimbali wameonyesha kuvutiwa na mbegu bora za miti ya asili zinazozalishwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), wakieleza kuwa elimu wanayoipata kutoka banda la TFS…
Serikali yatoa bil. 26.9 kujenga skimu ya umwagiliaji Mwamapuli
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imeingia mkataba na mkandarasi mzawa kampuni ya Samota limited kujenga mradi wa skimu ya umwagiliaji Mwamapuli, katika kijiji cha Mwanzugi wilayani Igunga mkoani Tabora, mradi ambao utagharimu…
Majaliwa : TBS hakikisheni soko la Tanzania linakuwa na bidhaa bora
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Shirika la Viwango Tanzania kutokuwa na huruma na bidhaa zisizokuwa na ubora kwani Serikali inataka soko la Tanzania liwe na bidhaa bora, salama na zenye kuleta tija kwa mlaji na kwa uchumi. Amewataka…