Latest Posts
Wizara ya Fedha yataja vipaumbele vitano katika utekelezaji wake mwaka wa fedha 2025/26
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Wizara ya Fedha imeainisha vipaumbele vyake vitano itakavyovitekeleza katika mwaka wa fedha 2025/2026, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa bajeti ya serikali. Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, amevitaja vipaumbele hivyo kuwa…
Ussi: Ilala yang’ara kwa mradi wa nishati safi ya kupikia katika soko la samaki Feri
Na Heri Shaaban, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Isimail Ally Ussi, amesema Wilaya ya Ilala imeng’ara kwa mradi wa Nishati safi ya kupikia ya gesi katika soko la Kimataifa la Samaki Feri Wilaya ya Ilala…
Dk Nindi: Tume ya Umwagiliaji ipanue wigo wa huduma nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dkt. Stephen Nindi, ameitaka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kutanua wigo wa kazi zake kwa kuwafikia wadau jumuishi wa sekta nyingine lengo likiwa ni kuhakikisha…
Serikali yaingiza bilioni 17 kwa mchezo kubeti
Michezo ya kubahatisha imeingiza serikalini kiasi cha Sh Bil.17.42 kwa mwaka wa fedha 2024/25, huku ikipanga kukusanya Sh Bil.29.89 kwa mwaka wa fedha 2025/26. Kauli hiyo imetolewa bungeni na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba alipokuwa akiwasilisha mapitio ya utekelezaji…
Mchengerwa awafunda walimu
Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa wazalendo na kuzingatia weledi ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi. Mhe. Mchengerwa ametoa rai hiyo kwenye mkutano wa walimu na wadau…
EWURA yatangaza kushuka kwa bei ya petroli
Na Mwandishi Wetu Bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa mwezi Juni 2025, imeendelea kuleta nafuu kwa watumiaji wa vyombo vya moto, nchini, ikilinganishwa na bei za mwezi Mei 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya…