Latest Posts
Warioba, Spika Sitta wateketeza Sh 100bil
Kila mtu ni mjasiriamali
Watu wengi huwa wananiuliza swali hili mara kwa mara, “Je, kila mtu ni lazima awe mjasiriamali?”
Nimekuwa nikiwajibu na leo ninataka kulijibu kwa namna nyingine na kwa upana. Ili kulijibu swali hili ninaomba nitumie Biblia kupata baadhi za rejea.
Uchafu waharibu mandhari ya mji wa Songea
Wananchi Manispaa ya Songea wameelezea wasiwasi wao kuhusu kukumbwa na milipuko wa magonjwa mbalimbali, kutokana na kukidhiri kwa uchafu katika maeneo mbalimbali yakiwamo soko kuu la mji buo.
Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wamesema miundombinu ya maji taka Soko Kuu la Songea ni mibovu. Mitaro ya mji huo imefurika na kutiririsha maji hovyo yanayosambaa kwenye maeneo ya wauza nyanya, vitunguu, samaki na dagaa.
Mchakato wa Katiba haukuandaliwa vizuri
Kama tujuavyo Bunge la Mabadiliko ya Katiba limekumbwa na vurugu na misukosuko kiasi cha kutia aibu Taifa letu.
Nashindwa kusema Bunge hilo liliendelea kujadili Rasimu ya Katiba kwa ukaidi wa nani. Maana wakati wote magenge mbalimbali ya watu waliendelea kudai Bunge hilo lisitishe shughuli zake, hasa baada ya wabunge wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia Bunge hilo.
ongezi JWTZ kwa kutimiza miaka 50 -2
Juma lililopita, nilitoa pongezi kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutimiza miaka 50 tangu kuanzishwa Septemba Mosi, 1964. Ukweli Jeshi hili liliasisiwa baada ya Jeshi la Tanganyika (Tanganyika Rifles-TR) kuasi Januari 20,1964.
Pongezi ‘JAMHURI’, Maimuna Tarishi mapambano ya mauaji ya tembo
Tunaomba kukupongeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi, na baadhi ya wadau kwa kufungua baadhi ya fahamu za Watanzania wazalendo na wanyonge, na huo ndiyo uongozi bora kwa viongozi wapenda maendeleo ya nchi yao.
Habari mpya
- Pwani wajipanga kushinda mashindano ya UMITASHUMTA 2025
- Kim Jong Un akerwa na ajali kwenye uzinduzi wa meli ya kivita
- Trump amshambulia Ramaphosa kwa mauaji ya wazungu
- Kenya yajitenga na Karua yatetea uamuzi wa Tanzania
- Ifahamu mimea mitano inayolindwa zaidi duniani
- Iran yasisitiza haitoacha urutubishaji wa urani
- Waziri Mkuu aongoza mkutano wa kazi wa mawaziri
- Waziri Mkuu wa zamani DRC ahukumiwa kifungo cha miaka 10 jela kwa ufisadi
- DCEA yateketeza mashamba ya bangi ekari 157 Kondoa
- Tanzania yajipanga kuja na Mahakama ndani ya SGR
- Mwinyi: Mkopo wa bil 240/- kujenga skuli 23 za ghorofa
- Wanajeshi sita wa Ukraine wauawa katika shambulio la Urusi
- Tanzania yanadi fursa za uwekezaji mnyororo madini muhimu London
- Jitihada za utunzaji wa mazingira Tanzania, Norway zawekwa bayana
- Wadau wapitia mkakati wa taifa wa kupunguza uzalishaji wa gesijoto