Latest Posts
Sigara feki zatinga Dar
Biashara ya magendo imechukua sura mpya, baada ya kubainika kuwa sigara zisizolipiwa ushuru tayari zipo katika soko la Dar es Salaam, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. “Kwa sasa zinatumika mbinu mbili. Sigara za Export watu wanatengeneza makasha ya Portsman na SM….
Tuweke vipaumbele 2017
Leo zimesalia siku nne kuhitimisha mwaka 2016. Kwa wazazi wengi wiki hii na ijayo si wiki za furaha sana. Wakati watoto wanafurahi kuongeza umri wa kuishi duniani, wazazi wengi wanajiuliza ada za shule inakuwaje. Mwezi Desemba, 2016 umekuwa tofauti na…
Uchaguzi Ghana somo kwa upinzani Tanzania?
Demokrasia ya Afrika imezidi kumea na kuchukua mwelekeo mpya kwa kuendelea kuibua taswira mpya ya tafsiri ya demokrasia na utawala bora, tangu kuibuka kwa wimbi la upepo wa mageuzi kwenye utawala wa kidemokrasia kupitia sanduku la kura kwa nchi nyingi za Afrika kama vile…
Vyombo vya habari binafsi
Kwa wiki mbili sasa sijaonekana katika safu hii. Niwie radhi msomaji wangu sikuchagua kutokuwapo, bali kutokana na kazi nzito ya kuchunguza magendo mpakani huko Tunduma, ilinipasa nisiwe mshika mawili. Leo nimerejea. Salamu za heri huwa hazichachi. Msomaji wangu nakutakia heri…
Mgogoro wa Israel na Palestina -1
Mzozo kati ya Israel na Palestina ni wa muda mrefu. Ni mzozo ambao umesababisha Wapalestina kuwa walemavu na wengi kupoteza maisha. Ni mzozo ambao vilevile raia wa Israel na wanajeshi wamepoteza maisha. Ni mgogoro ambao mataifa ya Magharibi yameshindwa kusuluhisha huku…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 27
Z’bar inaiyumbisha TRA 1. Sukari (a) Bill of Landing No. 3 & 4 (Inv. No. ETL/1300C/95 Metric Tons 2,000 (b) Bill of Landing No. 5 & 6 (Inv. No. ETL/1300D/95 Metric Tons 2,000 (c) Bill of Landing…