Latest Posts
Guterres: Shambulizi dhidi ya wapalestina lichunguzwe
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa uchunguzi huru wa vifo vya Wapalestina zaidi ya 30 vilivyotokea karibu na kituo cha kugawa misaada kinachoratibiwa kwa ushirikiano Marekani huko Gaza. Wapalestina zaidi ya 30 waliuawa karibu na…
Sera za wahisani hazina athari za moja kwa moja za kibajeti
Na Peter Haule, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa hakuna athari za moja kwa moja za kibajeti kutokana na amri za kimamlaka alizotoa Rais wa Marekani, Dornald Trump za kusitisha misaada kwa Tanzania. Hayo yalisemwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa…
Serikali : Kuna ongezeko la hali ya unene uliokithiri
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema kumekuwa na ongezeko la hali ya unene na unene uliokithiri. Kauli hiyo imetolewa bungeni mjini Dodoma leo na Waziri wa Afya, Jenista Mhagama alipokuwa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha…
Mbunge ahoji wananchi kulipia Daraja la Nyerere
MBUNGE wa Muleba Kusini, Oscar Ishengoma amehoji bungeni sababu za watumiaji wa Daraja la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kulipia kila wanapopita, huku watumiaji wa Daraja la Tanzanite yote yakiwa Dar es Salaam hawalipi. Akijibu swali hilo bungeni leo, Naibu Waziri…
CCM kufadhili kitabu cha mzee Songambele kuenzi historia ya nchi, chama na Serikali
*Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele kitakuwa mojawapo ya rejea adhimu za historia ya Tanzania. Balozi Nchimbi amesema…