JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Mkuu ataka wakulima, wananchi kujiunga na vyama vya ushirika vilivyosajiliwa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa,amewataka wakulima na wananchi kwa ujumla wahakikishe wanajiunga na vyama vya ushirika vilivyosajiliwa, ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Serikali na wadau wa maendeleo. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo  Aprili 27, 2025 wakati akifungua  mdahalo…

Simba yatinga fainali

Simba Sc imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika baada ya sare ya bila kufungana na wenyeji wao Stellenbosch katika mchezo wa marudiano wa nusu fainali uliochezwa leo Uwanjwa wa Moses Mabhiba jijini Durban, Afrika Kusini….

ETDCO wakamilisha Mradi wa Kilovolt 132 Tabora-Ipole

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tabora Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) imekamilisha ujenzi wa Mradi wa laini ya msongo wa Kilovolti 132 yenye urefu wa kilomita 102 kutoka Tabora hadi Ipole, ambao utawasaidi…

Simba mmeipa heshima nchi yetu – Rais Samia

Repost from @samia_suluhu_hassan•Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF Confederation Cup), na kuandika historia ya kufika fainali ya mashindano haya. Mmeipa nchi yetu heshima kubwa. Nawatakia…

Wavuvi waliozama Ziwa Victoria Kisiwa cha Rukuba bado hawajapatikana

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Musoma WAVUVI wawili kati ya wanne waliozama ziwa Victoria usiku wa Aprili 21,2025 bado hawajapàtikana licha ya juhudi za kuwatafuta. Akizungumza kwa njia ya simu na Jamhuri Media mmiliki wa mtumbwi waliozama nao wavuvi hao waliokuwa wakimfanyia…

Romanus Mihali asimikwa rasmi kuwa Askofu Jimbo la Iringa

📌 Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia kuwa mgeni maalum Kusimikwa Askofu Romanus Mihali 📌 Asema Serikali itahakikisha uchaguzi unakuwa wa huru na haki 📌 TEC yaipongeza Serikali kwa kuendeleza Uhuru wa kuabudu nchini Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na…