JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

China yakasirishwa na mpango wa Marekani kwa wanafunzi wake

China imekasirishwa na hatua ya serikali ya Marekani kuapa kubatilisha visa za wanafunzi wa China walioko Marekani, ikiita hatua ya Rais Donald Trump kuwa ya kisiasa na kibaguzi. Awali Marekani ilisema itaondoa nafasi ya wanafunzi hao kuomba visa za kuingia…

Mahakama ya Marekani yasitisha ushuru wa Trump

Mahakama ya shirikisho nchini Marekani imesitisha ushuru mkubwa uliowekwa na Rais Donald Trump hatua ambayo ni pigo kubwa kwa sehemu muhimu ya sera zake za kiuchumi. Mahakama ya Kimataifa ya Biashara iliamua kwamba sheria ya dharura, ambayo Ikulu ya White…

Kapinga ataja vigezo vya ziada upelekaji umeme vitongojini

📌 Lengo ni kuhakikisha kila Jimbo linakuwa na vitongoji vingi vilivyofikiwa na umeme 📌 Vinahusisha mahitaji ya kiuchumi na Kijamii, ukubwa wa Jimbo na Kitongoji 📌 Mkurugenzi Mkuu REA atakiwa kumsimamia kwa karibu Mkandarasi wa miradi ya Vitongoji Ziwa Tanganyika…

Waandishi wa habari, AZAKI wajengewa uwezo masuala ya uwajibikaji

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dodoma Taasisis za WAJIBU na Policy Forum, wamezindua mradi wa raia makini kwa kuwajengea uwezo wanahabari na AZAKI katika suala la uwajibikaji kwenye usimamizi wa fedha za umma ili waweze kushiriki kikamilifu katika kudai uwazi na…

REA yahamasisha wananchi kuchangamkia fursa miradi ya nishati safi ya kupikia

Na Mwandiahi Wetu, JakhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa wito kwa wananchi kote nchini kuchangamkia fursa zilizopo kwenye mnyororo mzima wa uzalishaji na usambazaji wa bidhaa za Nishati Safi ya Kupikia ili kujiongezea kipato sambamba na…