Latest Posts
Serikali kukamilisha ujenzi wa VETA wilaya zote
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe profesa Adolf Mkenda amesema serikali inaendelea na ujenzi wa vyuo vya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika Wilaya 64 nchini. Waziri Mkenda amesema hayo…
Shirika la ndege Ryanair lapanga kuondoa viti ili kupunguza nauli
Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na mpango mpya unaolenga kubadili kabisa taswira ya usafiri wa anga – kwa kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake na kuanzisha mfumo wa abiria kusimama. Kwa mujibu wa taarifa…
Umoja wa Ulaya waipa kongole REA
📌Kwa kuwa kinara katika kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kuhamasisha wananchi kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili ifikapo mwaka 2034, asilimia 80 ya wananchi wawe…
Waziri Mkuu akutana na Waziri wa Ardhi miundombinu, usafirishaji na utalii wa Japan
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji, na Utalii wa Japan, Mheshimiwa Hiromasa Nakano kwenye Makao Mkuu ya Wizara hiyo Tokyo Japan, Mei 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao na Naibu…