JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali yafanikisha usimamizi wa miradi yote ya maendeleo kwa ufanisi

Na Maelezo Zanzibar  04.03.2026 Waziri wa Maji, Nishati na Madini Mhe. Nadir Abdullatif Al-wardy amesema Serikali imeweza kusimamia na kufanikisha miradi ya maendeleo katika sekta zote zilizomo katika Wizara hiyo kwa lengo la kuimarisha maendeleo ya wananchi. Akizungumza na waandishi…

Meya Ilala: Bilioni 2/- kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Ilala

Na Heri Shaaban (Dar es Salaam) MEYA wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam Nurudini Bilal , amesema Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam imetenga shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya maswala ya mazingira na mabadiliko ya tabia…

Tani 9.93 za dawa za kulevya zakamatwa nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Januari na Februari 2026, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata tani 9.93 za dawa za kulevya aina mbalimbali, chupa 1,795 za dawa tiba zenye asili ya kulevya na kuteketeza…

Pcoi Lohi Zakaria, jike la mbegu lililokabiliana uso kwa uso na faru Hifadhi ya Ngorongoro

Pcoi Lohi Zakari anajulikana kwa jina la Utani Profesa kutokana na uwezo mkubwa wa kujua vitu vingi katika hifadhi ya Ngorongoro katika utumishi wake wa miaka 34, ni mwanamke shupavu kuelekea siku ya wanawake tarehe 8 Machi, 2026 Tukio la…

Mahenge Spinel; fursa ya uwekezaji wa kipekee katika soko la vituo duniani

Spinel ni miongoni mwa madini ya vito yenye thamani kubwa sana duniani, yanayoendelea kupata umaarufu mkubwa katika masoko ya kimataifa kutokana na ubora wake wa kipekee, rangi adimu na uimara wa hali ya juu. Tanzania ni miongoni mwa nchi chache…

Mradi wa pamoja kukuza uchumi wa wanawake na kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia

Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima utaimarisha fursa za kiuchumi kwa wanawake wa vijijini na…