JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mashirika yasiyo ya kiserikali yachangia maendeleo, zaidi ya Bil.561/- zakusanywa

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Zaidi ya mashirika 10,717 yasiyo ya kiserikali (NGOs) yamesajiliwa nchini hadi kufikia Aprili 2025, ikiwa ni ongezeko la mashirika 1,202 yaliyosajiliwa kati ya Julai 2024 hadi Aprili 2025. Kati ya hayo, mashirika ya kimataifa ni…

Bilioni 28/- kujenga kituo cha upandikizaji figo Tanzania

*Ni kikubwa katika Ukanda wa Jangwa la Sahala *Pia itatumika katika kutoa mafunzo kwa madaktari bingwa WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameshuhudia utiaji saini wa hati ya makubaliano ya ujenzi wa kituo kikubwa cha kupandikiza figo pamoja na utoaji mafunzo kwa…

Mradi magonjwa ya moyo kusaidia watoto wachanga

Na Mwandishi Wetu Mradi wa kituo cha umahiri wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu utasaidia kuwapa huduma watoto wachanga wenye changamoto ya upumuaji. Mradi huo unatekelezwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili ( MUHAS )…

USCAF yaingia mikataba, kufikisha huduma za mawasiliano vijiji 5,111, minara 2,152 kujengwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi Peter Mwasalyanda, amesema mfuko huo umeingia mikataba ya kufikisha huduma za mawasiliano katika kata 1,974 zenye vijiji 5,111 na wakazi wapatao 29,154,440. Kupitia…

Sera mpya ni ufunguo wa maendeleo

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salam Mwezi huu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezindua rasmi Sera Mpya ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2024. Kwa mtu anayechukulia diplomasia kama kazi ya mabalozi tu, anaweza asione uzito wa…

Ngorongoro yalemewa

*Majengo ya mamilioni yatelekezwa, yageuka magofu *Askari Uhifadhi walala vichakani mithili ya digidigi *Ukata wasababisha ujangili kuibuka upya Pololeti, Serengeti *Nyamapori zauzwa nje nje migahawani Loliondo Na Mwandihi Wetu, JamhuriMedia, Loliondo Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) ambayo…