Latest Posts
CCM ‘wasipogawana mbao’ nitashangaa!
Kiongozi wetu Mkuu anaendelea na ziara ya kuwaaga marafiki wetu wa maendeleo. Anazidi kuongeza idadi ya safari na siku alizokaa ughaibuni. Kwa Afrika, amejitahidi kuwaga kwa pamoja pale nchini Afrika Kusini. Lakini kwa Ulaya, Asia na Marekani, naona kaamua kwenda…
Yah: Uongozi sasa ni kama kazi na siyo karama, uwezo
Juzi jioni, mtoto wangu wa mwisho nilisikia anataka kugombea udiwani uchaguzi ujao, nikamuuliza maswali machache na aliweza kuyajibu kwa ufasaha. Nikajua kweli huyu mtoto kawa mwanasiasa mkomavu katika umri mdogo. Nilipomuuliza sababu za kutokugombea katika uchaguzi uliopita, alijitetea kuwa umri…
Kangi Lugola ameeleweka
Mgonjwa afikapo kwa tabibu – iwe wa kienyeji, tiba za asili au wa kisasa – hakurupukiwi kupewa dawa. Mtaalamu wetu wa jadi atapiga ramli kubaini chanzo cha kuumwa na upande wa yule wa tiba za kisasa atautanguliza uwezo wake mkubwa…
Wingi wa watu: Athari, faida zake
Uzazi wa mpango umekosolewa na baadhi ya watu kuwa ni njama za nchi za Magharibi ambazo zinakabiliwa na tatizo la, ama kupungua kwa idadi ya watoto wanaozaliwa, au kuwa na familia ambazo hazina watoto kabisa. Kwa upande mmoja wingi wa…
Punguzo jipya la kodi, tozo, ada za ardhi
Hivi karibuni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, alipowasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka fedha 2015/16 mbele ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizungumzia mambo mengi ambayo ni muhimu…
Tupo kwenye zama za ujasiriamali zilizoufukia ujamaa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliamua kuanzisha mfumo wa kiuchumi wa Ujamaa na Kujitegemea miaka michache baada ya Tanganyika kujipatia uhuru wake. Kwa kufanya hivyo alikuwa ameamua kufuata mawazo ya akina Adam Smith, David Ricardo, Milton Friedman, Fredrich Hayek, Ayn…