JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ahadi ya Serikali kufikisha umeme wa gridi Kagera yatekelezwa

📌 Dkt.Biteko ashuhudia utiaji saini mikataba itakayowezesha Wilaya zote Kagera kupata umeme wa Gridi 📌 Awali umeme mwingi ulikuwa ukitoka nchini Uganda hivyo kufanya Mkoa kutokuwa na umeme wa uhakika na wa kutosha 📌 Asema Rais.Dkt. Samia alishatoa maagizo ya…

Rais Mwinyi akutana na wanafunzi waliochaguliwa kutembelea NASA Marekani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za kuwaandaa vijana wengi zaidi wa Zanzibar kuwa wataalamu wa elimu ya anga. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo alipokutana na wanafunzi…

Mbaroni kwa kumuua mpenzi wake kwa kumkatakata na wembe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Polisi mkoani Shinyanga inamshikilia Pendo Medusela (37), mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Timithoy Magesa (35), kwa kumkatakata kwa wembe sehemu mbalimbali za mwili wake kwa kile kilichodaiwa ni kutokana…

Jeshi la Urusi ladai kuteka kijiji kingine cha Ukraine

Jeshi la Urusi limedai kukikamata kijiji kingine kwenye jimbo la Dnipropetrovsk na kuzidi kuingia kwenye maeneo ya Ukraine, huku hatua za kupatikana kwa makubaliano ya amani kwa mara nyingine zikikwama. Wizara ya Ulinzi ya Urusi imeesema vikosi vyake vimeteka eneo…

M23 yaishtumu Serikali kutumia mamluki kushambulia ngome zao

Mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamechukua sura mpya baada ya waasi wa M23 kuishutumu serikali kwa kutumia mamluki wa kigeni kushambulia maeneo wanayoyadhibiti, ikiwemo eneo la makazi la Kadasomwa, lenye migodi katika wilaya ya Kalehe, mkoa wa Kivu…

Majaliwa mgeni rasmi maadhimisho ya miaka 50 TEWW

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 25, 2025 ni mgeni rasmi katika kongamano la kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es…