JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Chikawe: Tume ya Katiba ipokee maoni, isijibu

Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe ameitaka Tume ya Mabadiliko ya Katiba kusikiliza zaidi maoni ya wananchi na kuyapokea badala ya kuyajibu kila yanapotolewa.

Utajiri wa Loliondo na laana yake (Hitimisho)

Sehemu iliyopita, Mwandishi Wetu alieleza Kamati iliyoundwa na CCM kuchunguza mgogoro wa Loliondo. Sehemu hii ya nne na ya mwisho, anaeleza ubatili wa Kamati ya Nchemba. Endelea…

Viwanda vyayumbisha korosho Mtwara

Viwanda 12 vya kubangua korosho nchini vilivyobinafsishwa na Serikali chini ya Rais Benjamin Mkapa hivi sasa vimegeuzwa maghala ya kuhifadhi mazao.

MISITU & MAZINGIRA

Misitu ya Asili na Maendeleo ya Jamii Tanzania (Hitimisho)

Wiki iliyopita, Dk. Kilahama alianza kuainisha manufaa ambayo wananchi vijijini watapata kutokana na Mpango wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu Vijiji. Hii ni sehemu ya mwisho ya mfululizo wa makala ya ‘Misitu ya Asili na Maendeleo ya Jamii Tanzania’

Kardinali Pengo atoa ya moyoni

Wapendwa waamini, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, nanyi nyote ndugu zangu wenye mapenzi mema! Baada ya Mkutano Mkuu wa SECAM,  huko Kinshasa ambao pia ulihitimisha kipindi changu cha miaka sita na nusu kama Rais wa SECAM, napenda kuwaletea salamu za mkutano mkuu huo kwa kutafakri pamoja nanyi kipengele kimoja kati ya vingi vilivyozungumzwa katika mkutano huo: Wajibu wa Viongozi wa watu Barani Afrika kutekeleza haki kwa kila mwana nchi pasipo kukawia wala kusitasita.

Serikali yaahidi kusaidia JKT

 

Julai 10, mwaka huu, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete, aliwaoongoza Watanzania katika maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), yaliyofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.