Latest Posts
Muhimbili yasogea karibu na wananchi kupitia Sabasaba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam HOSPITALI ya Taifa Muhimbili Upanga na Mloganzila imesogea karibu na wananchi kwa kushiriki katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13…
Wataalam SADC wakutana Zimbabwe kujadili sekta ya nishati na maji
📌 Miundombinu ya usafirishaji umeme kikanda kujadiliwa 📌 Nishati Safi ya kupikia kupewa kipaumbele 📌 Mkakati mahsusi wa kuongeza watumiaji wa umeme Afrika (M300) kuwa moja ya Ajenda 📌 Maendeleo ya Sekta ndogo ya Mafuta na Gesi pamoja na umeme…
Iran yamesema haina imani na usitishwaji vita wa Israel
IRAN imesema siku ya Jumapili kwamba haina haina imani hata kidogo na hatua ya Israel ya kujitolea kusitisha mapigano na kuhitimisha makabiliano makali yaliyosababisha uharibifu kati ya maadui hao wawili. Mkuu wa majeshi ya Iran Abdolrahim Mousavi alinukuliwa na televisheni…
Mtetezi wa Haki za wenye ulemavu ajitosa kuwania Ubunge Mpwapwa
Na Dotto Kwilasa, Mpwapwa Mtetezi wa haki za watu wenye ulemavu Dodoma Maiko Salali amejiweka rasmi kwenye kinyang’anyiro cha kuwania Ubunge wa Jimbo la Mpwapwa baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika ofisi za…
Mwalimu Abubakar Alawi achukua fomi kugombea ubunge Jimbo la Kibaha Mjini
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Aliyekuwa Mwekahazina wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Abubakar Alawi, leo Juni 30, 2025, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo imekabidhiwa kwake katika…
Peter Mashili kuvaana na Bashe Jimbo la Nzega Mjini
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya MASHILI COMPANY LIMITED ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mradi wa Uchenjuaji Dhahabu wa (Matinje Mining, Msilale Mining na Igurubi Mining) Ndg Peter Andrea Mashili ametangaza nia ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini…