JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Samia achangia mil 50/- ujenzi wa kanisa Kigoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Sh milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Maria Mtakatifu Mwana wa Mungu Kibwigwa Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma ambapo kiasi cha Sh milioni 250.2 kilichangwa…

Serikali kutekeleza mfuko wa ubunifu wa Samia ‘ Samia Innovation Fund’ wenye thamani ya bil. 2.3/-

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodom Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfuko wa Ubunifu wa Samia “SAMIA Innovation Fund” wenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.3 utakaotoa mikopo nafuu kwa wabunifu kwa lengo la kuendeleza na kubiasharisha ubunifu pamoja na kutoa fursa…

GSM Foundation, Yanga wachangia milioni 50 za matibabu ya moyo kwa watoto

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es SalaM GSM Foundation na Klabu ya mpira ya Yanga wamechangia kiasi cha shilingi milioni 50 kwa ajili ya kulipia gharama za upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotoka kwenye familia zenye uwezo mdogo kiuchumi wanaotibiwa katika Taasisi…

Maambukizi ya ugonjwa wa malaria yapungua nchini wa asilimia 67

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songea TAFITI za viashiria vya ugonjwa wa Malaria nchini zinaonesha umepungua kutoka asilimia 14.8 mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 8.1 mwaka 2022 ikiwa ni hatua kubwa zilizofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini…

Chama cha waongoza watalii Tanzania waiomba Serikali kuwatambua

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Chama cha waongoza watalii Tanzania (TTGA) wameiomba serikali iweze kuwatambua kisheria ili waweze kulipwa stahiki zao kwa mujibu wa Sheria kwani hiyo ni taasisi kamili iliyokamilika . Hayo yamesemwa na Katibu mkuu wa TTGA Robert…