JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Bejeti ya mageuzi sekta ya elimu, Serikali kujenga shule 103 za amali

Elimu ya amali katika shule za sekondari ni nyenzo muhimu ya kuwawezesha wanafunzi kupata ujuzi wa ufundi na ujasiriamali kwa lengo la kumudu maisha yao, kushindana katika soko la ajira na kuchangia maendeleo ya Taifa. Kwa muktadha huo, Serikali imewezesha…

Maonesho ya ‘Tanzania Dental Expo’ kuleta mapinduzi ya sekta ya afya ya kinywa na meno nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam, Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na wadau wa kinywa na meno wamewataka Watanzania na taasisi mbalimbali kujitokeza kwa wingi kushiriki katika maonesho ya huduma ya kinywa na meno…

Serikali inaboresha miundombinu ya umeme Kibiti kuondoa changamoto ya umeme – Kapinga

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya ya Kibiti ili kuondokana na tatizo la kukatika kwa umeme…

Shule za Tusiime kufundisha program za kompyuta kuanzia shule ya awali

Na Mwandishi Wetu, JamhiriMedia, Dar es Salaam KATIKA jitihada za kuendana na mtaala mpya wa elimu uliozinduliwa hivi karibuni na Serikali, unaojumuisha Mahili 11 yanayolenga kuendeleza ujuzi na stadi kwa wanafunzi, shule za Tusiime zimechagua program za Kompyuta kama kipaumbele…