Latest Posts
NMB yaandika historia kwa kushinda tuzo sita kubwa, ikiwemo ya benki bora kwa uendelevu barani Afrika
Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB inatangaza mafanikio ya kihistoria ya ushindi wa tuzo sita za kimataifa kutoka kwa majarida mawili mashuhuri duniani – jarida la Euromoney linalochapishwa London, Uingereza, na Global Banking & Finance Magazine lenye makao makuu yake…
Dk Dimwa awapiga msasa wenye ulemavu
Na Mwandishi Wetu Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Dimwa, ametoa wito kwa watu wenye ulemavu nchini kuacha kuwa watazamaji na badala yake kuwa wahusika wakuu katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa dola mwaka…
TNBC kuanzisha kituo cha Kimataifa cha huduma za kifedha kuvutia wawekezaji
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) chini ya kikundi kazi cha fedha kina mipango ya kuanzisha Kituo cha Kimataifa cha Huduma za Kifedha (International Financial Services Centre – IFSC) hapa nchini kitakachovutia mitaji na…
Ukatili wa watoto mtandaoni faini sh.50 milioni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum imeendelea kuimarisha mifumo ya kisheria kwa kufanya marekebisho ya Sheria Tatu ambazo ni Sheria ya Mtoto, Sura ya 13, Sheria ya Makosa ya Kimtandao, Sura ya 443,…