JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Mkuu akutana na balozi wa Tanzania nchini Japan

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka balozi wa Tanzania Nchini Japan Anderson Mutatembwa kusimamia utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ikiwa ni pamoja na kudumisha diplomasia ya uchumi kwa kuhamasisha uwekezaji na upatikanaji wa masoko wa bidhaa za ndani. “Ni jukumu lako kwenda kutangaza fursa zilizopo hapa nchini,…

Waziri Mkuu wa Japan atangaza kujiuzulu

Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba ametangaza kujiuzulu Jumapili baada ya chini ya mwaka mmoja madarakani. Tangazo lake limekuja baada ya chama chake cha Liberal Democratic Party (LDP), kupoteza wingi wa viti bungeni. Ishiba, mwenye miaka 68, alisema ataendelea kushika…

Mgomo wasababisha mamilioni ya abiria kukwama London

Mamilioi ya watu wanajiandaa kwa wiki ya changamoto ya usafiri jijini London Uingereza kutokana na mgomo wa treni za chini kwa chini. Mamilioni ya watu wanajiandaa kwa wiki ya hekaheka na matatizo ya usafiri jijini London Uingereza huku wafanyakazi wa…

Trump yuko tayari kwa vikwazo vipya dhidi ya Urusi

Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria yuko tayari kuongeza shinikizo dhidi ya Urusi kwa awamu ya pili ya vikwazo. Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa akijibu swali la mwandishi habari katika ikulu yake mjini Washington siku ya Jumapili lakini hakusema…

Bilioni 51 kutumika ujenzi wa barabara, masoko na stendi jijini Arusha

Na Mwandishi Wetu MRADI wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya uendelezaji wa Jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na…