Latest Posts
Mwalimu aliyejipatia mafao kutoka PSSF milioni 70.3 kwa udanganyifu aenda jela miaka 65
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu Mei 7, 2025 ilimtia hatiani Mwalimu Emmanuel Pamba Evarist katika shauri la Uhujumu Uchumi namba 9350/2024 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Mhe. Martha Mahumbuga, akiwepo…
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Simanjiro afikishwa mahakamani kwa rushwa
Katika Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro, Mei 8, 2025 limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 11041/2025 mbele ya Onesmo Nicodemo, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Simanjiro Samuel Warioba…
Kapinga azindua kituo mama cha gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) Dar
๐ Ni cha Pili kwa ukubwa barani Afrika; Cha Kwanza kwa ukubwa EAC ๐ Kujaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku ๐ Ampongeza Dkt. Samia kutatua changamoto za wananchi kwa vitendo ๐ Aipongeza TPDC; Ataka Vituo vya CNG kuendelea…