JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Nchimbi atumia helkopta kusaka kura Kagera

Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, leo Septemba 7, 2025, ameruka kwa helikopta akizisaka kura za kishindo za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Balozi…

Serikali kuendelea kuwawezesha vijana

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma amesema Serikali itaendelea kuwawezesha vijana katika kuhakikisha wanapata elimu itakayowawezesha kujiajiri na kuajirika. Akifunga mafunzo ya upambaji wa uso (make up) katika ukumbi wa Baytul…

Israel yaamuru Wapalestina kuondoka Gaza City

Jeshi la Israel limewataka Wapalestina kuondoka kwenye mji wa Gaza City na kuhamia katika eneo ambalo imesema ni “salama” kwao lililopo upande wa kusini. Amri hiyo ilitolewa wakati jeshi hilo linatanua kampeni ya kijeshi kwenye mji huo ulio mkubwa zaidi…

TMA yatoa taarifa ya kupatwa kwa mwezi kesho

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema kesho Septemba 7, 2025 inatarajia kutokea tukio la kupatwa kwa mwezi . Hali ya kupatwa kwa Mwezi ni tukio linalotokea wakati Dunia inapita kati ya Jua na Mwezi na kusababisha kivuli cha…