Latest Posts
Chatanda ashuhudia utiaji saini wa bilioni 13.3 kuboresha miundombinu Rufiji, Mchengerwa azindua Ligi
Na John Mapepele Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mhe. Mary Pius Chatanda ameshuhudia utiaji saini wa mikataba mitano ya bilioni 13.3 zilizotolewa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ili kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja wilayani Rufiji, huku Mchengerwa akizindua rasmi…
Trump : Nitafanya makubaliano ya kibiashara na ‘nchi inayoheshimika sana’
Rais wa Marekani Donald Trump amekejeli kile alichokiita “mkataba mkuu wa kibiashara”, ambao utakuwa makubaliano ya kwanza kutangazwa tangu atoze ushuru kwa makumi ya washirika wa kibiashara wa Marekani. Atafanya mkutano wa waandishi wa habari saa 10:00 huko Washington DC…
Usitishaji mapigano wa Urusi waanza kutekelezwa Ukraine
Mpango wa upande mmoja wa kusitisha mapigano uliotangazwa na Moscow umeanza kutekelezwa muda mfupi baada ya saa sita usiku. Usitishaji huo wa mapigano kwa saa 72 unatarajiwa kudumu hadi saa sita usiku Jumamosi kuamkia Jumapili. Rais wa Urusi Vladmir Putin…
Baraza la Habari Kenya lavutiwa na MAIPAC kushirikiana mafunzo kwa wanahabari
Mwandishi wetu, [email protected] Baraza la Habari la Kenya(KMC),limetembelea Ofisi za Taasisi ya wanahabari ya usaidizi wa jamii za pembezoni(MAIPAC) jijini Arusha na kuvutiwa na kazi za Taasisi hiyo na kuahidi kushirikiana kuwajengea uwezo wanahabari juu ya masuala ya mabadiliko ya…
Makadinali washindwa kumchagua papa mpya duru ya kwanza
Moshi mweusi umetoka kwenye chimni ya Kanisa la Sistine ishara kuwa makadinali wameshindwa kumchagua kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki katika duru yao ya kwanza ya kura ya kongamano lao. Makumi ya maelfu ya watu walikusanyika katika viwanja vya Mtakatifu Petro kusubiri…