JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Trump: Marekani huenda ikafuta makubaliano na Ulaya

Rais Donald Trump amesema Marekani huenda ikalazimika kufuta makubaliano ya kibiashara iliyoingia na Umoja wa Ulaya, Japan, Korea Kusini na wengine, iwapo itashindwa katika kesi yake kuhusu uhalali wa ushuru. Akizungumza na waandishi wa habari mwanzoni mwa mkutano na Rais…

RPC Morcase awataka waandishi wa habari kuzingatia miiko na maadili

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi Salim Morcase, amewataka waandishi wa habari mkoani humo kuzingatia weledi, miiko na kanuni za taaluma ya uandishi wa habari wanapotekeleza majukumu yao, hususan katika kipindi…

Kongamano la Mahakama ya Afrika latoa muelekeo mpya kuhusu haki za wanawake, wasichana

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Kongamano la siku mbili lililoandaliwa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu limewakutanisha wadau mbalimbali wakiwemo watendaji wa serikali, wanasheria kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, mashirika yasiyo ya kiserikali pamoja na wataalamu…

Sergio Ramos aachia wimbo wake wa kwanza ‘Cibeles’

Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Sergio Ramos, ameingia rasmi kwenye muziki kwa kuachia wimbo wake wa kwanza wa solo uitwao “Cibeles”, uliozinduliwa Agosti 31, 2025. Wimbo huu unaelezea kumbukumbu zake na upendo kwa Real Madrid, klabu aliyotumikia kwa miaka…

Wapiganaji kundi la PKK wakabidhi silaha nchini Iraq

Katika tukio lililoshuhudiwa na vyombo mbalimbali vya habari, zaidi ya wapiganaji 30 wa kundi la PKK wamekabidhi silaha zao rasmi nchini Iraq. Hatua hii imekuja kama sehemu ya makubaliano ya kupunguza vita na vurugu katika eneo la Kurdistan na kuimarisha…

Ufugaji wa Sungura watajwa kama fursa mpya ya kiuchumi kwa Watanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JAMII imeshauriwa kuchangamkia fursa ya ufugaji wa sungura kibiashara kutokana na soko lake linalozidi kukua nchini na faida lukuki za kiafya na kiuchumi zinazotokana na nyama yake na mazao mengine ya sungura. Akizungumza…