JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wataalam Afrika Mashariki wajadili Nishati Safi ya kupikia jijini Arusha

Kongamano la kwanza la Nishati Safi ya Kupikia Afrika Mashariki linaendelea jijini Arusha. Leo tarehe 7 Mei, 2025 ambayo ni Siku ya Pili ya Kongamano, Wataalam kutoka Tanzania, Rwanda, Kenya, Burundi, Uganda na Malawi wanaendelea na majadiliano kuhusu masuala mbalimbali…

RUWASA yapeleka neema ya maji Mloka, Mbunju Mvuleni, Ndundutawa Rufiji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Mchengerwa, ameshuhudia hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa miradi ya maji katika vijiji vya Mloka, Mbunju Mvuleni na…

Kundi la G55 CHADEMA latangaza kung’oka , wadai kutengwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaounda kundi la G55 , wametangaza kuondoka ndani ya chama hicho kwa kile walichoeleza kuwa kushindwa kutokana na kutengwa kwa kuwa walimuunga mkono Freema Mbowe…

CRDB yawahakikishia wawekezaji ukuaji endelevu wa uwekezaji wao

Kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 30 ya tokea kuanzishwa kwake, Benki ya CRDB imeandaa Kongamano la Wawekezaji jijini Dar es Salaam katika hoteli ya Johari Rotana, lililohudhuriwa na wawekezaji 200 wa taasisi na binafsi kuangazia utendaji wa benki hiyo,…

Makadinali 133 wajumuika Vatican kumchagua mrithi wa Papa

Makadinali 133 kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamejumuika mjini Vatican kushiriki zoezi muhimu na la kihistoria la kumchagua papa atakayemrithi hayati Papa Francis aliyeongoza Kanisa Katoliki kwa miaka 12. Mjumuiko huu maarufu kama conclave umeanza shughuli hiyo katika kanisa dogola …

Tanzania, Zambia zakutana kujadili mpango kazi uimarishaji mpaka wa kimataifa

Na Munir Shemweta, WANMM SONGWE Kikao cha Kamati ya pamoja cha wataalamu wa Tanzania na Zambia kimeanza mkoani Songwe nchini Tanzania kujadili mpango kazi wa uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo. Kikao hicho kimeanza tarehe 5 Mei 2025…