JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Samia alipa bil. 539/- ukamilishaji daraja la JP Magufuli, mradi wakamilika asilimia 99

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedi, Dodoma Wakati Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiingia madarakani mwaka 2021, ujenzi wa daraja la JP Magufuli (Kigongo – Busisi) mkoani Mwanza ulikuwa umefikia takribani asilimia 25 na kutokana changamoto za kutetereka kwa uchumi wa…

Trump aamuru kufunguliwa tena kwa jela ya ‘watukutu’

Rais wa Marekani Donald Trump ameamuru kufunguliwa tena na kutanuliwa kwa jela kubwa ya Alcatraz iliyokuwa ikitumika kuwafunga wahalifu waliotiwa hatiani kwa makosa ya kutisha. Jela hiyo iliyokuwapo kwenye jimbo la California ilifungwa zaidi ya miaka 60 iliyopita na hivi…

Israel yaanza kuwaita askari wa akiba kuimarisha operesheni zake Gaza

JESHI la Israel limeanza kuwaita makumi kwa maelfu ya askari wa akiba ili “kuimarisha na kupanua” operesheni zake huko Gaza. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilisema “linaongeza shinikizo” kwa lengo la kuwarejesha mateka waliokuwa wameshikiliwa huko Gaza na kuwashinda…

Mwenyekiti CCM Songea Mjini awataka waandishi wa habari kufanyakazi kwa kuzingatia maadili

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Songea mjini Mwinyi Msolomi amewaasa waandishi wa habari kuzingatia maadili ya taaluma yao kwa kuandika habari zenye weredi na usahihi katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu….