Latest Posts
Viongozi 20 wa dunia wakutana China
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, wako miongoni mwa viongozi 20 wa dunia wanaohudhuria kilele cha usalama wa kikanda nchini China. Kabla ya mkutano wa kila mwaka wa Shirika la Ushirikiano wa Shanghai (SCO)…
CHAUMMA, CUF kuzindua kampeni za urais leo
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinatarajia kuzindua kampeni za mgombea wake wa urais, Salum Mwalimu, pamoja na mgombea mwenza wake Devotha Minja, jijini Dar es Salaam leo. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA,…
Urusi yaishambulia Ukraine kwa zaidi ya droni 100
Jeshi la anga la Ukraine limesema, vikosi vya Urusi viliishambulia nchi hiyo usiku kucha huku milio ya mabomu ikisikika pia katika maeneo mengine ya nchi. Zaidi ya droni 100 zilionekana zikiruka sehemu tofauti za nchi, huku jeshi la anga likijaribu…
CUF yaahidi kutoa matibabu na elimu bure
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Chama cha Wananchi CUF, kimesema endapo kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi kitahakisha kinatoa huduma ya matibabu bure kwa wananchi wote katika hospitali za Serikali. Pamoja na kutoa elimu bure kuanzia ngazi ya awali mpaka chuo…
Balozi Nchimbi aanza kampeni Mara
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kijijini Mwitongo,Butiama na kuzuru kaburi la mwasisi huyo wa Tanzania na CCM. Dkt.Nchimbi ameingia mkoani…
Utunzaji sahihi wa nyaraka na kumbukumbu ni msingi wa taifa imara – Majaliwa
UTUNZAJI sahihi wa nyaraka na kumbukumbu ni uti wa mgongo wa uwajibikaji, historia, na utawala bora kwani bila masjala madhubuti, Taifa letu lingeweza kukabiliwa na changamoto kubwa za upotevu wa taarifa, ucheleweshaji wa maamuzi, na hatimaye kurudisha nyuma juhudi za…




