Latest Posts
Waziri Bashe awapa mbinu ya kuondokana na umaskini wakulima wa korosho Kusini
Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia, Dodoma WAZIRI wa Kilimo,Mhe.Hussein Bashe amewataka wakulima wa Korosho kusini kuhakikisha shughuli zote zinazohusiana na korosho zinafanyika na kupatikana kusini ili kuondokana na umasikini. Bashe, amesema hayo jijini Dodoma kabla ya kufungua kikao cha tathmini ya…
Mhandisi Luhemeja afungua mkutano wa AGN Zanzibar
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja amefunga Mkutano wa Kundi la Majadiliano la Afrika (AGN) leo tarehe 30 Aprili 2025 katika Ukumbi wa Hotel Verde Mtoni, Zanzibar. Mkutano huo uliofanyika kwa siku tatu, umewakutanisha washiriki kutoka…
Sekta ya Madini imepiga hatua – Dk Kiruswa
NAIBU Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Sekta ya Madini imepiga hatua kubwa. Dkt. Kiruswa ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025 wakati akifunga Kikao cha Manejimenti ya Tume ya Madini kilichofanyika…
John Mrema atimuliwa uanachama CHADEMA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHAEMA), kupitia tawi la Bonyokwa, limetangaza rasmi kumvua uanachama wake aliyekuwa mwanachama wake, John Mrema. Uamuzi huo umetangazwa kupitia barua rasmi yenye Kumbukumbu Namba CDM/MTG/KND/01.2025 katika kikao cha…
Dk Biteko alitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli kuongeza kasi ya uendelezaji vitalu vya mafuta na gesi asilia
📌 Azindua Mkakati wa Kwanza wa Muda mrefu wa Shirika (2025-2050) 📌 Asisitiza Jamii zinazozunguka miradi ya Mafuta na Gesi Asilia kutopuuzwa 📌 Apongeza Bodi na Menejimenti ya TPDC kwa kuipambanua Tanzania kama kitovu cha Mafuta na Gesi Asilia 📌…