JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dkt. Asha-Rose Migiro akabidhiwa Ofisi kama Katibu Mkuu wa kwanza mwanamke

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Dkt. Asha-Rose Migiro amepokelewa rasmi katika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)akiwa Katibu Mkuu huku akimefungua ukurasa mpya katika historia yake ya uongozi kwa kuwa Katibu Mkuu mpya Mwanamke. Ikumbukwe kuwa tangu kuanzishwa kwa CCM mwaka…

Kiwanda Kipya cha Nikeli, Shaba chazinduliwa Bahi, Mavunde atangaza mapinduzi sekta ya madini

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Wananchi wa Kata ya Zanka, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wameanza kuona mwanga mpya wa maendeleo kufuatia uzinduzi rasmi wa kiwanda cha kusindika na kuyeyusha madini ya Nikeli na Shaba kinachomilikiwa na kampuni ya Zhong Zhou. Hafla…