Latest Posts
Mkuu wa Wilaya Nyasa afunga mafunzo ya Jeshi la Akiba
-Asisitiza nidhamu, weledi, uzalendo-Awataka wananchi kuwa raia wema. Na Byarugaba Innocent, Nyasa DC Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Peres Magiri leo Agosti 22, 2025 amefunga Mafunzo ya Jeshi la akiba yaliyoanza rasmi Aprili 9,2025 yakiwa na Wanafunzi 16. Mkufunzi Mkuu…
NHIF yatoa mafunzo kujisajili uanachama bima ya afya kwa watumishi Tume ya Madini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Watumishi wa Tume ya Madini Makao Makuu wamepatiwa mafunzo ya mfumo wa kujisajili katika Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF Self Service), hatua inayolenga kurahisisha mchakato wa usajili wa wanachama na wategemezi wao. Mafunzo hayo…
NCAA yalipia mashabiki 500 mechi Taifa Stars Morocco
Na Hamis Dambaya, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imenunua tiketi 500 kwa ajili ya kulipia mashabiki 500 kuingia uwanja wa Benjamini Mkapa leo Agosti 22, 2025 kwa ajili ya kushuhudia mechi ya robo fainali ambapo…
DC Upendo Wella awaasa wazazi kuchangia chakula shuleni
Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Tabora Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Upendo Wella, amewaasa wazazi na walezi wa Kata ya Tambukareli kuchangia fedha za chakula kwa ajili ya watoto wao mashuleni. Amesisitiza kuwa upatikanaji wa chakula shuleni ni jambo la msingi…
Mgodi wa dhahabu Geita kuwalipa fidia wananchi kupisha shughuli za uchimbaji
▪️Ni Wananchi wa Nyakabale na Nyamalembo ▪️Waziri Mavunde alekeza zoezi lianze mapema ▪️Wananchi Geita wamshukuru Rais Samia kwa utatuzi wa mgogoro uliodumu miaka 26. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi…
Ridhiwani :Serikali ya Awamu ya Sita inajivunia ushirikiano wa watumishi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete ameipongeza Menejimenti na watumishi wa Ofisi hiyo kwa ushirikiano uliofanikisha Serikali ya Awamu ya Sita kupata mafanikio katika sekta za Kazi, Vijana, Ajira, Watu…





