JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Jafo ataka wananchi kuacha kuchanganya mazao

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Selemani Jafo  ametoa rai kwa Watanzania kuacha kuchanganya mazao ili kutokuharibu au kupunguza thamani ya mazao hayo katika soko la kimataifa na kuharibu taswira ya Tanzania. Dkt.Jafo ameyasem…

Asilimia 75 ya Watanzania wanatumia simu za mkononi, milioni 35 wanatumia mtandao wa intanenti

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali imewahakikisha wananchi wanaofanya shughuli zao kupitia mitandao kuwa wapo salama zaidi na Serikali imetunga Sheria ya kulinda data za mtu binafsi katika matumizi ya mtandao na kila mtumiaji analindwa na hairuhusiwi kutumia data za…

Uvimbe uliomtesa kwa miaka 10 watolewa na mabingwa wa Rais Samia

Madaktari Bingwa wa Samia Suluhu Hassan wamefanikiwa kumtoa uvimbe wenye uzito wa gramu 800 kwenye kizazi mgonjwa alioishi nao kwa zaidi ya miaka 10. Hayo yamebainishwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya wanawake na uzazi, Dkt. Emmanuel Imani Ngadaya kutoka…

TASAC yakabidhiwa boti na Ofisi ya Waziri Mkuu kuimarisha ulinzi wa bahari

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu imelitaka Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kushirikiana na taasisi nyingine za kisekta kuwa na mkakati wa matumizi ya boti katika kukabiliana na vitendo vya kihalifu…

TAEC kuwa mlezi wa programu maalum ya diploma masomo ya teknolojia ya nyuklia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) Prof. Najat Kassim Mohammed amesema taasisi hiyo itakuwa mlezi wa programu maalumu ya diploma ya masomo ya teknolojia ya nyuklia itakayoanzishwa na chuo cha ufundi…

Lukuvi : Rais Samia hana deni huduma ya maji Ubungo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi ametembelea Mradi wa Maji Mshikamano uliopo Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo…