JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Samia amlilia Papa Francis

Repost from @samia_suluhu_hassan Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko. Katika kipindi chote cha miaka 12 akiwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko ameishi maisha yake kama mwalimu na kiongozi aliyefundisha na kuhimiza…

Papa Francis afariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. Uongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Vatican kupitia Kadinali Kevin Farell umetangaza siku ya Jumatatu (21.04.2025) kifo cha Papa Francis kupitia televisheni ya Vatican. Wiki kadhaa…

Dunia yapata pigo kwa kumpoteza Papa Francis

Leo tarehe 21 Aprili 2025, dunia imepata pigo kubwa kufuatia taarifa rasmi ya kifo cha Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis. Vatican imethibitisha kuwa Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88, baada ya kusumbuliwa na…

Mchungaji Dk Getrude Rwakatare aendelea kukumbukwa

….Alisaidia mahabusu 150 kuachiwa huru……..Alisomesha maelfu kutoka kaya maskini Na Mwandishi Wetu KANISA la Mlima wa Moto la Mikocheni jijini Dar es Salaam, limeendelea kuenzi kazi nzuri zilizokuwa zikifanywa na mwasisi wake Hayati Askofu Dk. Getrude Rwakatare ikiwemo kuombea amani…

Serikali yashauriwa kumwachia huru Lissu na wenzake

Na Mwandishi Maalum Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC), limetoa wito kwa Serikali kuwaachilia bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka…

Papa awatakia waumini Pasaka njema

Papa Francis amejitokeza katika Uwanja wa St Peter mjini Vatican kuwatakia “Pasaka Njema” maelfu ya waumini. Papa, 88, alitoka kwa kiti cha magurudumu na kupunga mkono kutoka kwenye roshani ya St Peter Basilica na kushangilia umati wa watu, akisema: “Ndugu…