JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Moto mkubwa wa msituni wauwa watu 24 Korea Kusini

Moto mkubwa wa misituni unaoendelea kwa siku ya tano mfululizo katika maeneo ya kusini mashariki mwa Korea Kusini umesababisha vifo vya watu 24. Maafisa wamesema zaidi ya watu 27,000 wamelazimika kuhamishwa. Rais wa mpito wa nchi hiyo, Han Duck-soo, amesema…

Naibu Waziri Mwinyijuma akabidhi hati 33 za mashamba kwa wananchi Kwabada

Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Jamhuri Media Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamisi Mwinyijuma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza, Mkoani Tanga, amegawa hati 33 za mashamba ya Kwabada, katika shamba la Lewa, ambalo lilikuwa na…

Maagizo matano yatolewa kuongeza ufanisi kampuni ambazo Serikali ina hisa chache

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani SERIKALI imetoa maagizo matano kwa wakurugenzi wa bodi za kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache, ikiwa ni sehemu ya jitihada ya kuboresha ufanisi wa taasisi wanazoziongoza. Maagizo hayo yaliyotolewa wilayani Kibaha, mkoani Pwani katika…

Walimu wanyukana, mmoja atoa adhabu kwa wanafunzi, mwenzake aitengua

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Bagamoyo Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mapinga, Johaness Nyambaza, anadaiwa kwenda shuleni akiwa na panga analoliweka ndani ya begi. Kitendo hicho kinadaiwa kuwasababishia walimu na wanafunzi wa shule hiyo iliyopo Bagamoyo mkoani Pwani kusoma na…

Mfupa mgumu ‘No Reforms, No Election’

*Chadema waanza kuzunguka mikoani kufanya mikutano ya kuinadi ‘No Reforms, No Election’ *Butiku asema serikali haiwezi kuacha kufanya Uchaguzi Mkuu kwa sababu ya Chadema *Ananilea asema muda unatosha wa kufanya mabadiliko madogo ya Katiba Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Dar es…

Wauguzi imarisheni usimamizi utoaji huduma bora za afya nchini – Dk Dugange

OR-TAMISEMI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange amewaelekeza Wauguzi Viongozi wa ngazi zote za afya nchini kuhakikisha wanaimarisha usimamizi wa utoaji wa huduma bora ili wananchi wote wapate huduma bora…