Latest Posts
Kuondolewa kwa hitajio la VISA kwa Watanzania wanaoingia DRC
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeondoa hitajio la Visa kwa raia wa Tanzania wanaoingia DRC kuanzia tarehe 20, Machi, 2025. Baada ya Jamhuri…
Wakazi wa Dar waombwa kujitokeza kwa wingi zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga kura
Na Mary Margwe, Dar es Salaam Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Jacob Siay amewataka wanachama na wananchi wote Jijini hapa kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura ili…
COSOTA kuwanufaisha wasanii kupitia mgao wa fedha za mirabaha ya hatimiliki
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA)imesema imeandaa mgao wa mapato ya mirabaha kutokana na fedha za tozo ya Hatimiliki unategemewa kunufaisha makundi ya kazi za muziki, filamu, maandishi, sanaa za ufundi na sanaa za maonesho Kila daraja litapata…
Mgodi unaomilikiwa na wakinamama wachangia milioni 800
· Ni katika maduhuli ya Serikali · Kahama yafikia 85% ya ukusanyaji maduhuli MGODI wa Dhahabu wa Manda, unaomilikiwa na Wakinamama chini ya uenyekiti wa Asha Msangi umechangia Shilingi Milioni 800 katika maduhuli ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha…
Tudumishe zaodi amani mwaka huu
Na Lookman Miraji Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa serikali inatambua mchango mkubwa wa jumuiya ya maridhiano ya Amani nchini(JMAT) kuwa mstari wa mbele kutangaza amani, upendo na umoja miongoni mwa wananchi wa Tanzania bila…
Gavana Tutuba: Hali ya uchumi wa Tanzania inaendelea kuimarika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amesema kuwa, hali ya uchumi wa Tanzania imeendelea kuimarika na kuwa himilivu. Gavana Tutuba ameyasema hayo Machi, 20 2025 jijini Dar es Salaam katika…