Latest Posts
Tanzania yazidi kujifunza uhifadhi na usimamizi wa mazingira kupitia bandari kupata chanzo cha biashara
Na Jovina Massano UJUMBE wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mhandisi Hamad Masauni ,umetembelea Bandari ya Oslo nchini Norway kwa lengo la kujifunza namna bandari hiyo inavyohifadhi mazingira na kuzuia…
TMA yatabiri uwepo wa baridi Juni -Agosti baadhi ya maeneo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema katika kipindi cha Juni hadi Agosti 2025 inatarajiwa hali ya baridi ya wastani hadi joto kiasi katika maeneo mengi ya nchini Pia imesema hali ya…
RC Makonda aridhishwa na maendeleo ya mradi wa madaraja ya King’ori barabara ya Arusha – Moshi
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, amefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa madaraja mawili ya King’ori yanayojengwa katika barabara kuu ya Arusha – Moshi na kuridhishwa na kasi na ubora wa…
Pwani wajipanga kushinda mashindano ya UMITASHUMTA 2025
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani umejipanga kushinda katika mashindano ya kitaifa ya UMISSETA na UMITASHUMTA, yanayotarajiwa kufanyika mkoani Iringa kuanzia Juni 8 hadi Julai 4, 2025. Akizungumza wakati wa kupokea msaada wa vyakula kwa ajili ya wanamichezo…
Kim Jong Un akerwa na ajali kwenye uzinduzi wa meli ya kivita
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameonyesha kughadhabishwa na ajali mbaya iliyotokea Jumatano wakati wa uzinduzi wa meli mpya ya kivita nchini humo akisema ni uzembe wa hali ya juu. Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameitaja…
Trump amshambulia Ramaphosa kwa mauaji ya wazungu
RAIS Donald Trump amemshambulia Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa jana Jumatano baada ya kumchezea video iliyoonyesha madai ya mauaji ya kimbari yanayofanywa dhidi ya wazungu. Rais Trump alisema wakulima hao sasa wanalazimika kukimbilia Marekani ili kunusuru maisha yao. Trump…





