JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kenya yajitenga na Karua yatetea uamuzi wa Tanzania

Serikali ya Kenya imetetea uamuzi wa Tanzania kuwakataa baadhi ya viongozi wa kisiasa na wanaharakati wa Kenya kuingia nchini humo, hatua ambayo imezua mjadala mkali katika kanda ya Afrika Mashariki. Kupitia kwa Msemaji wake, Isaac Mwaura, serikali ya Kenya imesema…

Ifahamu mimea mitano inayolindwa zaidi duniani

Kwa mujibu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mimea ni asilimia 80 ya chakula cha binadamu na asilimia 98 ya oksijeni. Pamoja na umuhimu huo bado iko kwenye tishio dhidi ya mazingira na viumbe wakiwemo…

Iran yasisitiza haitoacha urutubishaji wa urani

Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha kurutubisha madini urani. Tamko hili la Araghchi linaonyesha msimamo wa jamhuri hiyo ya Kiislamu katika mazungumzo yake na Marekani kuhusiana na mpango wake wa nyuklia unaokuwa kwa…

Waziri Mkuu wa zamani DRC ahukumiwa kifungo cha miaka 10 jela kwa ufisadi

Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Augustin Matata Ponyo, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela pamoja na kufanya kazi ngumu, baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa fedha za umma. Hukumu hiyo imetolewa na…

DCEA yateketeza mashamba ya bangi ekari 157 Kondoa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kondoa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kondoa pamoja na wananchi wa Kata ya Haubi, wamefanikisha operesheni maalum ya kutokomeza kilimo…