JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali kuendelea kuwekeza katika sekta ya afya -Dkt Biteko

📌 Dkt. Biteko atambelea Hospitali ya Wilaya ya Meru Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Serikali imeahidi kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini katika ngazi zote ili kuboresha huduma za Afya kwa Watanzania. Hayo yamesemwa Aprili,…

THRDC: Kuna umuhimu wa kukubaliana mambo ya msingi kabla ya Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema kuna umuhimu wa kukaa kwenye muafaka wa kitaifa na kukubaliana mambo ya msingi kabla ya kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu….

Maelfu wanaendelea kumuaga Papa Francis leo

Maelfu ya watu wameendelea kujitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican. Maelfu ya watu wameendelea kujitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa kiongozi…

Trump atoa wito kwa Urusi kusitisha mashambulizi Ukraine

Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi kusitisha mashambulizi dhidi ya Ukraine, saa chache baada ya Urusi kuishambulia Ukraine kwa makombora na droni. Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi…

Serikali yakamilisha upembuzi yakinifu mradi wa maji ziwa Victoria

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amesema serikali imekamilisha upembuzi yakinifu wa awali kwa ajili ya upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria wa Tinde-Shelui kwenda zaidi ya vijiji 30 vya wilaya za Shinyanga na Iramba. Alisema utekelezaji wa mradi…

Serikali yatenga bil.5.5/- ujenzi nyumba 54 za walimu

KATIKA bajeti ya mwaka 2025/2026, serikali imetenga Sh bilioni 5.5 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba 54 za walimu nchi nzima. Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi, Zainab Katimba alisema nyumba hizo ni mbili kwa moja na zitajengwa katika maeneo…