Latest Posts
Papa awatakia waumini Pasaka njema
Papa Francis amejitokeza katika Uwanja wa St Peter mjini Vatican kuwatakia “Pasaka Njema” maelfu ya waumini. Papa, 88, alitoka kwa kiti cha magurudumu na kupunga mkono kutoka kwenye roshani ya St Peter Basilica na kushangilia umati wa watu, akisema: “Ndugu…
Watu wenye silaha wamewaua takribani watu 56 Nigeria
Watu wenye silaha wamefanya mauaji ya takriban watu 56 mapema wiki hii katika jimbo la Benue katikati mwa Nigeria, ofisi ya gavana ilisema Jumamosi, ikirekebisha kwa kasi idadi iliyotolewa awali ya watu 17. Viatu vilizosalia vya wanafunzi wa Shule ya…
Zelenskiy ametoa salamu za Pasaka kwa kuilalamikia Urusi
Rais Volodymyr Zelenskiy katika Jumapili hii ya Pasaka ametaka Waukraine kutokata tamaa ya kupatikana kwa amani,akisema watarejea katika nchi yao na wavumulie kuishinda nyakati ngumu ya vita iliyodumu kwa siku 1,152. Akiwa amevaa shati la kijivu lenye nakshi ya Kiukraine,…
Askofu Chilongani : Serikali, CHADEMA kaeni meza moja mmalize tofauti zenu
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika Dkt. Dickson Chilongani amewaomba viongozi wa Serikali na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakae meza moja wamalize tofauti zao kwa njia ya mazungumzo. Dkt. Chilongani ameyasema hayo leo Aprili 20,2025…
Balozi Matinyi : Nitatumia mbinu za kihabari kung’amua na kujifunza mikakati ya kuvutia utalii
Na Mwandishi Wetu Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, ameahidi kuitangaza Tanzania na vivutio vyake kimataifa kwa kutumia uzoefu wake katika fani ya uandishi wa habari, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha diplomasia ya uchumi na utalii….
Waziri Majaliwa atoa rai kwa viongozi wa dini kuombea Uchaguzi Mkuu 2025
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa rai kwa viongozi wa dini kuendelea kuliombea Taifa pamoja na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.. Hayo yamesemwa Jijini Dodoma wakati wa Ibada takatifu ya kusimikwa kwa Askofu Mkuu Dkt. Evance Lucas Chande wa…





