Latest Posts
Israel Salufu awania Jimbo la Kilolo
Na Mwandishi Wetu KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Israel Johaness Salufu amechukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Jimbo la Kilolo mkoani Iringa. Salufu amechukua fomu hiyo leo tarehe 28 Juni 2025 katika Ofisi za…
Aliyeongoza kura maoni Vunjo 2020, kumkabili tena Dk Kimei
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMesia, Moshi Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Enock Koola (35), ambaye aliongoza katika kura za maoni katika kinyang’anyiro cha ubunge mwaka 2020, amechukua tena fomu ya kuwania tena nafasi hiyo ya uwakilishi, akiwa miongoni mwa waliojitokeza…
Kaboyoka ajiunga rasmi na ACT -Wazalendo
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MBUNGE wa Viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha 2020 hadi 2025, Nagy Livingstone Kaboyoka, amejiunga rasmi na Chama cha ACT Wazalendo. Hafla ya mapokezi imefanyika leo…
Wachimbaji wa shaba waaswa kujiunga vikundi kunufaika na fursa za maendeleo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mpwapwa, Wachimbaji wadogo wa madini ya shaba wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), unaolenga kuwaendeleza wachimbaji…
Dk Samia amuagiza Dk Kimambo kusimamia weledi na uongozi Muhimbili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imefanya uwekezaji mkubwa wa vifaa tiba na wataalaam wenye utaalam wa juu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili iweze kutoa…
Mwandishi wa habari Baruan Muhuza achukua fomu kuwania Jimbo la Kigoma Mjini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Asubuhi ya leo katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ujiji, Kigoma tumemshuhudia nguli wa Utangazaji nchini, Baruan Muhuza akichukua Fomu kuwania nafasi ya kukiwakilisha Chama cha Mapinduzi katika uchaguzi Mkuu ujao kupitia jimbo…