Latest Posts
Shani achukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Chamanzi kwa tiketi ya AAFP
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Mgombea wa Jimbo Jipya la Chamanzi kwa Tiketi ya Chama cha Wakulima AAFP Shani Kitumbua amewaomba Wananchi ridhaa ya kumchagua nafasi aliyoimba kwani atakwenda kutatua kero ikiwemo kuisemea barabara ya Kilungule ambayo ni Mbovu,uchache wa…
Ndonge Mguu ndani kinyang’angiro ubunge Jimbo la Mbagala
Na Magrethy Katengu,JamhuriMediaDar es Salaam Mgombea Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama Cha Wakulima(AAFP) Ndonge Said Ndonge amesema kwamba endapo Wananchi watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wao,atashughulikia kero zote za Mbagala ikiwemo mradi wa fremu anaodai kuwa umejengwa kwenye hifadhi…
Yusufu Rai ajitosa ubunge Jimbo la Temeke kwa tiketi ya AAFP
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama Cha Wakulima (AAFP) Yusuph Rai amesema kuwa endapo wananchi watampa dhamana ya kuwa Mbunge atahakikisha Jimbo hilo linapiga hatua kubwa kimaendeleo tofauti na Majimbo mengine yaliyopo…
Timu ya wataalamu kutoka SADC watembelea TMA kukagua na kukabidhi vifaa vya hali ya hewa
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imepokea timu ya wataalamu kutoka Kituo cha Kikanda cha Huduma za Hali ya Hewa cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika “SADC Climate Service Centre- (SADC CSC) wanaoratibu utekelezaji wa mradi wa SADC…
Wizara ya Nishati yajivunia utekelezaji wa miradi saba kati ya 17 nchini
📌 Katibu Mkuu Nishati asema kati ya miradi hiyo saba, JNHPP imekamilika 📌 Asema EACOP imefikia asilimia 65 huku Serikali ya Tanzania ikichangia hisa za shilingi trilioni 1.12 📌Ruhudji na Rumakali tafiti zakamilika Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Katibu…
Rais Samia atunukiwa Tuzo ya heshima kutambua mchango wake katika mapambano dhidi ya majanga
Na Dotto Kwilasa,Jamhuri Media,Dodoma Wakati zaidi ya watu milioni 83 duniani wakilazimika kuhama makazi yao kutokana na majanga ya asili, migogoro, na kuyumba kwa uchumi, Tanzania imeungana na mataifa mengine duniani kuenzi mashujaa wa misaada ya kibinadamu ambapo safari hii…