JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kapinga asema kipaumbele cha Serikali ni kufikisha umeme kwenye taasisi zote

šŸ“Œ Taasisi 1,272 zaunganishwa na umeme Lindi šŸ“Œ Maeneo ya pembezoni mwa miji kuendelea kuguswa na miradi ya umeme Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kipaumbele cha Serikali ni kuhakikisha Taasisi zote zinazotoa huduma za kijamii, kiuchumi na…

Dk Kikwete: Natamani Rais Samia aendelee kuliongoza taifa letu

Na Mwamvua Mwinyi, JamhiriMedia, Chalinze Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, anatamani kuona Rais Samia Suluhu Hassan akiendelea kuliongoza Taifa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, huku akisisitiza uchaguzi uwe wa amani na salama….

TCCIA yatembelea Mradi Mkubwa wa Biashara Afrika Mashariki EACLC, Wapongeza hatua ya maendeleo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Timu ya Kitengo Cha Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma ya Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), ikiongozwa na Meneja wa taasisi hiyo Bw. Matina Nkurlu, imetembelea na kujionea hatua za mwisho…

Mabalozi kutangaza utalii wa Tanzania kimataifa

šŸ“ŒZiara ya utalii ya Mabalozi kuchochea ushirikiano wa Tanzania na mataifa mengine Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Mambo…

Doyo Hassan Doyo aidhinishwa na NLD kuwania urais 2025

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha National League for Demokracy (NLD) Kimemuidhinisha Doyo Hassan Doyo kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama.hicho katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 huku Mfaume Khamisi Hassani akiidhinishwa kiwania Urais wa Zanzibari Akizungumza mara…

Sherehe za Muungano za mwaka huu zifanyike mikoa yote

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu HassanĀ ameelekeza maadhimisho ya sherehe za Muungano za mwaka huuĀ yafanyike katika mikoa yote yakiongozwa na viongozi wakuu wa Serikali. Ameyasema hayo alipowasilisha hotuba kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na…