Latest Posts
Serikali, Benki ya Dunia kuendelea kushirikiana kuboresha sekta ya afya
Na WAF Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amekutana na kufanya kikao na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Bw. Daniel Dulitzky ambaye ameongozana na ujumbe wake akiwemo Bw. Nathan Belete, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia…
TAKUKURU: Rushwa katika chaguzi inadhoofisha utawala bora na demokrasia
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Crispin Chalamila, amesema rushwa katika uchaguzi inaweza kudhoofisha utawala bora na demokrasia, ambapo baadhi ya wananchi wenye sifa za uongozi bora (mfano uadilifu na uwajibikaji) hushindwa kugombea au kutoteuliwa ama…
DCEA yateketeza kilogramu 94. 8 za dawa za kulevya Arumeru
Ofisi ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Kanda ya Kaskazini kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa DCEA Aretas Lyimo imeteketeza kiasi cha kilogramu 94.828 cha dawa za kulevya aina mirungi katika dampo la Halmashauri lililopo eneo…
Uingereza kuipatia msaada wa kijeshi Ukraine
Serikali ya Uingereza imetangaza itaipatia Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa kima cha dola milioni mia nne na hamsini ambazo zitatumika kununua ndege mpya zisizoendeshwa na marubani na kukarabati vifaru vya kijeshi. Hayo yalitangazwa katika mkutano ulioendeshwa na Uingereza na…
UAE inaongoza mauaji ya halaiki Sudan
Serikali ya Khartoum imeufikisha Umoja wa Falme za Kiarabu mbele ya mahakama ya ICJ, ikiishtaki kwa kuhusika katika mauaji ya kimbari dhidi ya jamii ya Masalit kwa kuwaunga mkono wanamgambo wa RSF. Sudan imeieleza Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ…





