Latest Posts
Usafiri Somanga warejea, kazi imefanyika usiku na mchana
Usafiri umerejea kwa hatua katika barabara iendayo mikoa ya Kusini leo alfajiri baada ya wataalamu wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana kurekebisha eneo la Somanga Matandu lililoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ambaye ameweka…





