JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Biashara Mtandao yaingiza Bilioni 192.8/-

Serikali imekusanya Shilingi bilioni 192.78 kutokana na biashara mtandaoni, ikiwemo michezo ya kubahatisha, kati ya Julai 2024 hadi Machi 2025, kutoka kwa kampuni 1,820 zilizosajiliwa rasmi. Taarifa hiyo imetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud…

Marekani yatoa dola milioni moja kuimarisha mapambano dhidi ya Mpox Tanzania

Serikali ya Marekani yatoa takriban Dola Milioni Moja Kuimarisha Mapambano Dhidi ya Mpox TanzaniaTanzania – Serikali ya Marekani kupitia Kituo cha Kudhibiti Maradhi (CDC), imetangaza msaada wa karibu dola milioni moja kwa ajili ya kuimarisha ufuatiliaji na udhibiti wa kuenea…

Dk Dimwa : Oktoba 2025 ndio mwisho wa ACT-Wazalendo Pemba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Pemba NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Mohamed Said Dimwa, amesema Chama hicho kimejipanga kuhakikisha kinashinda majimbo yote ya Pemba,kutokana na wananchi wa kisiwa hicho kukiri kuwa CCM imeisimamia vizuri Serikali yake katika kuwaletea…

CBE yaisaidia shule ya sekondari Benjamin Mkapa vifaa vya milioni 4.4/-

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimetoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 4.4 kwa shule ya elimu jumuishi ya Benjamin Mkapa ya jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa msaada…

Watendaji uboreshaji wa daftari awamu ya pili watakiwa kuzingatia sheria- INEC

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu za Uchaguzi wakati wa utekelezaji wa awamu ya pili ya…