JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Mwita awataka wananchi kuunga mkono miradi ya Serikali

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amewataka Wananchi kuunga Mkono miradi inayoanzishwa na Serikali ili iweze kukamilika kwa muda uliopangwa. Ameyasema hayo kwa nyakati tofauti wakati alipofanya ziara ya kukaguwa maeneo yanayotarajiwa kujengwa Viwanja vya…

Fanyeni kampeni za kistarabu kunadi sera epukeni matusi

Na Magrethy Katengu,Jamhuri MediaDar es Salaam Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote…

Umoja na mshikamano vyatawala hotuba za viongozi mkutano wa SADC

Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Antananarivo Agosti 17, 2025, huku viongozi hao wakihimizana, umoja, mshikamano na ushirikiano kama njia ya msingi ya kujikwamua kiuchumi na kukabiliana na changamoto zinazoibuka kila…

Kikwete: Serikali kusaini muongozo wa kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha SERIKALI imesema hivi karibuni inatarajia kusaini kuwa Sheria miongozo Wa kima cha chini Cha mshahara kwa TaasisiI binafsi zinazofanywa kazi nchini. Imesema katika miongozo huo inatarajia kuainisha viwango vipya vya mshahara ambapo wafanyakazi Wa sekta…