JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Netanyahu afika kizimbani kujibu mashtaka ya rushwa

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo amefika mbele ya mahakama mjini Tel Aviv kujibu mashtaka ya muda mrefu ya rushwa. Netanyahu aliwasili na timu yake ya mawakili inayoongozwa na Amit Hadad baada ya kuamriwa kutoa ushahidi katika mashtaka ya…

Maambukizi ya Ukimwi kuongezeka mara sita 2029

Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kukabiliana na Ugonjwa wa Ukimwi, Winnie Byanyima, amesema kuwa idadi ya maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi huenda ikaongezeka mara sita zaidi ifikapo mwaka 2029, endapo Marekani haitaendelea na mpango wa kusiadia…

Waziri Chana afungua onesho la Wiki ya Ubunifu la Italia jijini Dar

• Aipongeza Italia kwa mashirikiano katika sekta ya utalii Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefungua rasmi Onesho la Wiki ya Wabunifu wa Italia linaloonesha picha za wabunifu mbalimbali…

Zitto azungumzia kesi zinazopinga uchaguzi mitaa

KIONGOZI mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amehudhuria muendelezo wa kesi zinazopinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, zilizofunguliwa na chama hicho katika maeneo mbalimbali nchini. Akizungumza na waandishi wa habari katika Mahakama ya…

Wasira :CCM itashika dola kwa kura si bunduki

*Asema wamejipanga kuendelea kuwatumikia wananchi*Awashangaa wanaohoji CCM kukaa madarakani muda mrefu Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kutokana na wingi wa kura…