Latest Posts
Polisi Pwani yakamata watu 10, watatu wanawake kwa tuhuma za kupanga uhalifu
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu kumi, wakiwemo wanawake watatu, wakidaiwa wakikusudia kukusanyika na kupanga njama za kufanya uhalifu. Watuhumiwa hao wamekamatwa agost 16,2025 katika Ukumbi wa Mwitongo, uliopo Kata ya Mailimoja, Halmashauri ya…
Serikali tinajivunia mchango wa taasisi za dini kimaendeleo – Dk Biteko
📌 Dkt. Biteko amwakilisha Makamuwa Rais, Dkt Philip Mpango maadhimisho ya miaka 125 Parokia ya Kome – Geita 📌 Rais Samia achangia Tsh.Milioni 50 Ujenzi wa mradi wa maji Parokia ya Kome 📌 Maaskofu Waishukuru Serikali kwa ushirikiano na Taasisi…
Ukraine : Inafanya iwe vigumu vita kumalizika –
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kuwa hatua ya Urusi kukataa kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano inatatiza juhudi za kumaliza vita. “Tunaona kwamba Urusi inakataa wito wa kusitishwa kwa mapigano na bado haijaamua ni lini itakomesha mauaji. Hii inafanya hali…
ACT Wazalendo Simiyu wampokea Mpina kwa maandamano makubwa
Na Mwandishi Wetu, Simiyu Chama cha ACT Wazalendo kimefanya mapokezi rasmi ya mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho, Luhaga Mpina, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Kisesa, Mkoa wa Simiyu. Mkutano huo…
Wananchi Manispaa ya Kigoma Ujiji waanza kunufaika na Mradi wa Tactic
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma WANANCHI katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wameanza kunufaika na mradi wa TACTIC unaotekelezwa chini ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa mkopo nafuu kutoka Benki ya Dunia. Akielezea mradi huo unavyotekelezwa katika…
Kongamano la kwanza la Kimataifa la Saratani kufanyika Dar
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam ZAIDI ya madaktari bingwa wa saratani, wataalamu wa tiba mionzi, watafiti na watunga sera kutoka nchi zaidi ya 20 wanatarajiwa kushiriki kongamano la kwanza la kimataifa la saratani litakalofanyika jijini Dar es Salaam…