JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Bilioni 13.46 kuleta mageuzi ya kilimo cha umwagiliaji Mangalali

📍NIRC, Iringa Tume ya taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imefanya makabidhiano ya mradi wa ujenzi miundombinu ya umwagiliaji, wenye thamani ya shilingi bilioni 13.46, katika kijiji cha Mangalali, kata ya Ulanda mkoani Iringa. Mradi huo unalenga kuboresha kilimo kwa wakulima zaidi…

CCM yaonya wanaomwaga pesa kusaka udiwani, ubunge

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa onyo kwa watia nia wote wanaoanza kujipitisha kwenye majimbo na kata mbalimbali na kutoa chochote kwa wajumbe ili wawaunge mkono kwenye kinyang’anyiro cha uteuzi ndani ya chama. Onyo hilo limetolewa…

Bandari ya Dar yapewa hongera

Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameipongeza Mamlaka ya Bandari kwa kazi nzuri ya kuboresha huduma na kuongeza ufanisi, hali inayoifanya Tanzania kuvutia zaidi kibiashara. Chalamila amesema kuwa bandari hiyo…

Hakutakuwa na kuvunjika kwa amani Dar es Salaam – Chalamila

Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa hali ya usalama jijini humo iko shwari na Serikali haitaruhusu aina yoyote ya uvunjifu wa amani, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea…

Serikali kuondoa kilio cha mafuriko Jangwani

Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert chalamila, amesema kuwa katika kutatua changamoto sugu ya mafuriko eneo la Jangwani ujenzi wa daraja jipya utaanza rasmi mwaka huu. Chalamila amesema hayo leo katika…

Wastafu soko la Kariakoo kulipwa milioni 306

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI ya Awamu ya Sita katika kuendelea kutatua kero za wafanyakazi nchini imefanikiwa kutoa shilingi milioni 306,000, 000 kwa ajili ya kulipa madeni ya waliokuwa watumishi wa Soko la Kariakoo. Taarifa hiyo imetolewa…